Wednesday, October 5, 2011

Usalama Barabarani

Mgeni wa Heshima Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hon. Muhamed Othman Chande(wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Balozi Hamis Sued Kagasheki(Mbunge)na Naibu Waziri wizara ya Mambo ya Ndani (wa pili kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa Mpya Mh Massawe wa mwisho kulia; wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani Tarehe 3-10-2011 mpaka 8-10-2011 kitaifa  Mjini Bukoba

No comments:

Post a Comment