There is a lot of vey interesting tourist sites in the Lake zone, game reserves and national parks worth visiting. Some of the areas are : 1. Makongoro Clinic Building /Old Ruin? Mwanza Municipality
2. Nyanza ya Bagikuru A place where Queens were bathed
3. Nyashana Mountain - A place where discoverer Speke stood for the first time to see lake Victoria
4. Kayenze Port -A place where 1st white men who came to Mwanza were killed
5. Old Boma -A place where prominent persons gathered to listen to the only Radio in Mwanza by then
6. Utemini (Lords Palace) -A place were chiefs stayed when they came to Mwanza for conslations with the colonial Administrator
7. Water Department Offices -1st prison in Mwanza
8. Central Bank front yard -The tree where people were hanged
9. Mwanza Club -First whitemans club in Mwanza
10. Regional Commissioners Hill -German Route/Rest Camp
11. State House -First Colonial rest House in Mwanza
12. Nyamadoke Farmers Bridge, -here there are Sukuma traditional things (mambo ya kale)
13. Saanane Island -Game reserve
14. Kijereshi camp -National Park in Magu District
15. Rubondo Park -Game reserve in Geita District
16. Uhuru Park -A place where there are sukuma traditional houses and beds in (Nyegezi) Mwanza Municipality
17. Bismark rocks -A place where Born Bismarck (German) rested when arrived in Mwanza
18. Stones -Interesting stones Mwanza City on the way to Igoma via Sahwa
19. Foot Prints- Foot prints of Mwanamalundi at Ilemela in Mwanza City
20. Memorial sites- Sukuma cultural/memorial sites at Bujora
21. Recreation/sports centre -A place where chiefs met in Malya
22. Nyakuberega -A dancing stone/rock ;a stone which if instructed to dance for visitors it dances so well but only if instructed by the local traditional leader at Ukara Island in Ukerewe District
23. Kayange bands -Rocks/stones near the Lake where there are foot prints of chief Kayange in Ukerewe
Thursday, September 29, 2011
Thursday, September 15, 2011
Monday, September 12, 2011
Mv Spice Islander
Built in 1967 as Marianna for an unknown owner,[2][3] she was later sold to Theologos P. Naftiliaki, Piraeus, Greece.[2] In 1988,[3] Marianna was sold to Apostolos Shipping and renamed Apostolos P. She was later sold to Saronikos Ferries and placed in service on the Piraeus - Aegina - Angistri route.[2]
In 2005, Apostolos P was registered to Hellenic Seaways. In 2007,[2] she was sold to Makame Hasnuu, Zanzibar, Tanzania.[3] and renamed Spice Islander I.[4] On 25 September 2007, Spice Islander I was off the coast of Somalia when she experienced engine problems due to contaminated fuel. After the alarm had been raised via Kenya, USS Stout from Combined Task Force 150 was sent to her aid.[5] The ship was on a voyage from Oman to Tanzania and was not carrying any passengers. USS James E. Williams also responded. Stout provided the ship with 7,800 US gallons (30,000 l; 6,500 imp gal) of fuel and supplied the ten crew with food and water. After her engines were restarted, she resumed her voyage to Tanzania
At 21:00 local time (19:00 UTC) Spice Islander I sailed from Unguja for Pemba Island. She was reported to have been carrying in excess of 800 passengers.[4] Her capacity was 45 crew and 645 passengers.[2] At around 01:00, (local time) on 10 September (23:00, 9 September UTC) Spice Islander I sank between Zanzibar and Pemba. Of those on board, 612 were rescued, with 40 of them suffering serious injuries. At least 200 people were killed.[

Friday, August 26, 2011
East African News Agency-Disemba 2010
| Katibu Mtendaji wa Bonde la Ziwa Victoria( LVBC), Dk. Tom Okurut aliwaambia washiriki wa kongamano la uwekezaji katika bonde la ziwa Victoria, mjini Mwanza: Uwekezaji katika uendeshaji wa rasilimali ya maji utazuia uharibifu na kuimarisha matumizi sawa ya rasilimali hiyo, Shirika la Habari la Afrika Mashariki (EANA) lilimnukuu Dk. Okurut akiwaeleza washiriki wa kongamano hilo. Wajumbe wa kongamano hilo lililojumuisha wawekezaji wa sasa na wawekezaji watarajiwa walielezwa vivutio mbalimbali vya uwekezaji vilivyopo katika bonde la ziwa Victoria na jinsi gani vinaweza kuvunwa na kubadili maisha ya watu wanaoishi kuzunguka ziwa hilo. Wajumbe walisema uimarishwaji wa teknolojia ya mawasiliano na habari utawezesha kukuza uwekezaji katika kanda hiyo. Wakizungumzia juu ya utafiti, wajumbe hao waliitaka sekta binafsi na taasisi za fedha kuanzisha sera ya utafiti na maendeleo ya kanda. Ili kukuza utalii, wajumbe walisema, kuwepo na juhudi za pamoja za kutafuta soko na kukuza utalii wa ndani ya Bonde la Ziwa Victoria. Ziwa Victoria ni kubwa kuliko maziwa yote barani Afrika, kubwa kuliko yote katika ukanda wa tropiki duniani na ni ziwa la pili ulimwenguni lenye maji baridi likitanguliwa na ziwa Superior lilipo Amerika ya Kaskazini. Baadhi ya vivutio vilivyomo ndani ya ziwa Victoria ni pamoja na: kuwepo kwa visiwa 88 kati ya hivyo 48 ni visiwa vikubwa ambavyo vinaweza vikawa ni miongoni mwa maeneo ya utalli, yapo maeneo ya mapumziko na fukwe zinazoweza kuendelezwa kwa utalii na ipo nafasi kubwa ya kuanzishwa kwa viwanda vingi vya minofu ya samaki. | ||
Friday, August 19, 2011
Wednesday, August 17, 2011
Nyumbani
Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.
Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati na misemo, mithali na mashairi , mafumbo , vitendawili na nyimbo.
Kiswahili kimekuwa lugha rasmi katika nchi zifuatazo:
Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati na misemo, mithali na mashairi , mafumbo , vitendawili na nyimbo.
Kiswahili kimekuwa lugha rasmi katika nchi zifuatazo:
- Tanzania: Lugha ya taifa; ni lugha ya shule za msingi, lugha ya utawala serikalini na mahakamani; inatumika kote nchini, kanisani, kwenye misikiti, kwa redio, runinga na idadi kubwa ya magazeti.
- Kenya: ni lugha ya taifa lakini Kiingereza ni lugha rasmi ya Kiutawala; Kiswahili ni lugha ya kwanza ya mawasiliano kati ya wananchi wakikutana nje ya eneo penye kabila moja tu; ni lugha inayofundishwa lakini si lugha ya kufundisha mashuleni; ni lugha inayotumika na polisi na jeshi, ni lugha ya kuhutubia wananchi mjini na kitaifa; sehemu za ibada makanisani zinatumia Kiswahili; kuna gazeti moja tu la Kiswahili; sehemu za programu redioni na kwenye runinga ni kwa Kiswahili. Lugha inachanganywa mara nyingi na Kiingereza na lugha za maeneo au kikabila. Hata hivyo baada ya rasimu ya katiba mpya kupitishwa mnamo tarehe 4, Agosti 2010, Kiswahili sasa kitakuwa lugha rasmi, sawa na Kingereza.
- Uganda: imetangazwa kuwa lugha ya kitaifa tangu 2005; iliwahi kuwa lugha ya kitaifa wakati wa utawala wa Idi Amin; wakati wa ukoloni ilifundishwa mashuleni ikaelekea kuwa lugha rasmi pamoja na Kiingereza lakini matumizi haya yalipingwa hasa na Waganda hivyo Waingereza waliacha mipango hiyo. Ni lugha ya polisi na jeshi hali ambayo imeleta ugumu kwa lugha kukubalika na wananchi wengi kutokana na historia ya utawala wa kijeshi Uganda; watu wengi bado hukumbuka hasa matusi ya wanajeshi waliowatesa wakisema Kiswahili. Lakini kuna maeneo ya Uganda ambako Kiswahili kinatumika na watu wengi kama lugha ya sokoni na barabarani.
- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo: Kiswahili ni kati ya lugha nne za kitaifa, pia lugha ya jeshi katika mashariki ya nchi. Kiswahili kimefika na misafara ya biashara ya watumwa na pembe za ndovu kutoka Zanzibar na pwani la Tanganyika. Imeenea zaidi kati ya mchanganyiko wa wafanyakazi kwenye migodi ya Shaba
Wednesday, August 10, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)