Kila mwaka, benki ya KCB Tanzania imekuwa ikiendesha semina kwa wajasiriamali wadogo na wa kati.
Mradi ambao hujulikana kama SME Capacity Building Project. Jijini Mwanza, semina hii ilifanyika pale JB Belmont Hotel siku ya tarehe 21 Novemba, 2013.
Washiriki mbalimbali, wengi wao wakiwa ni wateja wa KCB Bank Tanzania Limited walihudhuria.
Ilikuwa ni yenye manufaa kwa kila mpenda maendeleo.
Pichani: Mkurugenzi wa Nyanza Information Centre, Musa George akipokea cheti cha ushiriki.
Thursday, December 5, 2013
Saturday, November 2, 2013
Maonesho ya sikukuu ya Wakulima Mwanza 2013
Mabanda ya Wajasiriamali wadogo Mtaa wa Viwanda vya SIDO
Mitaa ya viwanda vidogo chini ya uangalizi wa SIDO
Mitaa ya SIDO
TIGO Kilimo nao walikuwepo
Mitaa ya viwanda vidogo chini ya uangalizi wa SIDO
Mitaa ya SIDO
TIGO Kilimo nao walikuwepo
Wednesday, July 3, 2013
Maonesho na Semina vilifanyika kwa Ufanisi
Banda la Semina kwenye Uwanja wa Nyamagana. Semina ikiendelea..siku ya pili.
Washiriki wakijisajili kwenye daftari la mahudhurio asubuhi kabla ya semina.
Washiriki wakipatiwa makabrasha, ili kujiweka tayari kuingia kwenye mabanda ya semina uwanjani.
Washiriki wakijisajili kwenye daftari la mahudhurio asubuhi kabla ya semina.
Washiriki wakipatiwa makabrasha, ili kujiweka tayari kuingia kwenye mabanda ya semina uwanjani.
Subscribe to:
Posts (Atom)