Banda la Victoria Agricultural Machinery Mwanza
Saturday, November 2, 2013
Wednesday, July 3, 2013
Maonesho na Semina vilifanyika kwa Ufanisi
Banda la Semina kwenye Uwanja wa Nyamagana. Semina ikiendelea..siku ya pili.
Washiriki wakijisajili kwenye daftari la mahudhurio asubuhi kabla ya semina.
Washiriki wakipatiwa makabrasha, ili kujiweka tayari kuingia kwenye mabanda ya semina uwanjani.

Wednesday, April 10, 2013
Wednesday, February 13, 2013
Planet Earth Business Doctors Co. Ltd
Kwa huduma za ushauri na utafiti wa masoko, Planet Earth Business Doctors Co.Ltd imefungua ofisi mtaa wa Uhuru na Nkrumah kwenye kona, jijini Mwanza.
Thursday, July 26, 2012
Maonyesho ya Wajasiriamali Mwanza.
Juma lilopita kuanzia Jumanne tarehe 17 Julai 2012, kulikuwa na maonyesho ya wajasiriamali wa kati na wadogo (SME's) katika ukumbi wa Jiji (Gandhi Hall).
Yaliandaliwa na Klabu ya BDG ( Business Development Gateway) Mkoa wa Mwanza.
Bidhaa na Huduma mbalimbali zilikuwepo, kama: Vyakula asilia vya lishe vilivyosindikwa, soya, matunda, Mvinyo wa mlonge na lozera, dawa na sabuni za usafi, nguo za kike na kiume, bidhaa za ngozi kama mikanda, viatu na mabegi, pia huduma za teknolojia ya habari na mawasiliano, dagaa waliokaushwa, mashine za kusaga na kukoboa nafaka, misumeno na landa za mbao, majiko bora na sadifu, pia mitambo ya kubadili mfumo wa umeme ( DC/AC Inverter).
Siku ya Ijumaa tarehe 20 Julai 2012, niliweza kupata picha kama unavyoweza kuona hapa:

Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)