Saturday, November 2, 2013

Maonesho ya sikukuu ya Wakulima Mwanza 2013

 Mabanda ya Wajasiriamali wadogo Mtaa wa Viwanda vya SIDO
 Mitaa ya viwanda vidogo chini ya uangalizi wa SIDO
 Mitaa ya SIDO
TIGO Kilimo nao walikuwepo

Maonesho ya Nanenane Nyamhongolo Mwanza 2013

Banda la Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Tanzania -TTCL
Zana za kilimo kutoka VAM.


Sikukuu ya Wakulima 2013

Banda la Victoria Agricultural Machinery Mwanza